September 22, 2012

DARAJA LA MTO RUHEKEI

Hilo(pichani) ni Draja la Mto Ruhekei ambalo linaunganisha kati ya Kilosa/Likwilu na vijiji vingine kuelekea upande wa kusini mwa Wilaya mpya ya Nyasa, mkoani Ruvuma.

Wilaya ya Nyasa imeundwa kutoka iliyokuwa wilaya ya Mbinga na kupata wilaya mbili; mbinga na Nyasa. Lakini katika mfumo wa Uchaguzi mkuu, Tume ya Uchaguzi inatambua majimbo mawili; Mbinga Magharibi(Nyasa) na Mbinga Mashariki.

Gharama za kuvuka Daraja hilo ni shilingi 200/- kwa mtu mmoja. Na shilingi 500/= kwa pikipiki.

Picha: Hoops Kamanga, Nyasa

No comments:

Post a Comment

Maoni yako