September 22, 2012

TAARIFA:UZINDUZI WA WILAYA YA NYASA

WADAU:
WILAYA YA NYASA INATARAJIWA KUZINDULIWA RASMI TAREHE 6/10//2012 KATIKA MAKAO MAKUU YA WILAYA HIYO MBAMBA BAY KWA SHEREHE ZITAKAZOTANGULIWA NA MKESHA WA TAREHE 5.10.2012

NGOMANA BURUDANI MBALIMBALI KAMA MGANDA, KIODA, LINDEKU, LIGAMBUSA N.K ZITATAWALA. MGENI RASMI KWENYE UZINDUZI HUO ATAKUWA WAZIRI MKUU WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, MHESHIMIWA MIZENGO PINDA.

KARIBUNI SANA


No comments:

Post a Comment

Maoni yako