September 22, 2012

WAKULIMA WILAYA YA NYASA

Wilaya ya Nyasa iliyopo mkoa wa Ruvuma inasifika kwa kilimo cha zao la MPUNGA. Kuna vijiji mbalimbali wanajikita katika kilimo cha mpunga ambacho ni moja ya shughuli za kiuchumi katika wilaya hiyo.

Pichani ni wakulima wa zao hilo KIMBANDE SKIMU wakivuna Mpunga.

Picha: Egbart Jeremy

No comments:

Post a Comment

Maoni yako