December 04, 2012

HAPA NA PALE WILAYANI NYASA

Shamba la Mtama na mikorosho la shule yya sekondari ya Lituhi

Shamba la Mpunga lililolimwa katika vyanzo vya Maji kwenye kijiji cha Mkako.

Bomba la mradi wa Maji Kindimba Juu.

1 comment:

  1. Umenikumbusha mbali sana ne mwana wa palochi, nilisoma shule ya msingi kihuru jirani hapo miaka hiyooo. Safi sana nyumbani ni kuzuri kwetu kwa kuzaliwa ni mbaha.

    ReplyDelete

Maoni yako