April 15, 2013

MAAFA UKANDA WA ZIWA NYASA

Tangu jumamosi nimekuwa nikikusanya taarifa mbalimbali kuhusiana na maafa ya mafuriko yaliyosababishwa na mvua kubwa iliyonyesha katika ukanda wa ziwa nyasa. Kuna maeneo kama Mbamba Baya, Kilosa, Kwambe, Likwimu na maeneo mbalimbali yameathiriwa na mvua kubwa hivyo kusababisha vifo na uharibifu mkubwa wa mali.

Tukimaliza kukusanya taarifa zote basi tutaweka hapa ili kuhabarisha zaidi wadau wetu.

Markus Mpangala
Dar es salaam

1 comment:

  1. Mwenga aga gangi..Ahsante sana kwa taarifa hii ngoja niwatafute ndugu zangu...

    ReplyDelete

Maoni yako