May 10, 2013

MWIJILISTI KAMARA KUSUPA ALIPONIPA WOSIA WA KUSISIMUA

"Sawa, nilidhani umekuwa kama serikali ya Kikwete ambayo Mwalimu halipwi haki yake hadi agome na akigoma anapelekewa hukumu ya mahakama, wanafunzi wakifeli unaunda tum tume ya kutafuta mchawi na mwisho tume inakuja na uchawi mpya wa kurekebisha matokeo ili waliofeli nao waonekane wamepasi. Hakuna tofauti na kughushi matokeo ili kunymazisha kelele za kufeli,"

No comments:

Post a Comment

Maoni yako