June 16, 2013

MADE IN TANZANIA: HATIMAYE, HAYAWI HAYAWI SASA YAMEKUWAMwanafunzi wa Chuo kikuuu cha Dodoma, ndugu Justice Donatus amefanikiwa kutengeneza mtandao wake wa kijamii JUST LIKE FACEBOOK IS,uitwao MAYOCOO ambao utasaidia kuiunganisha jamii ya kitanzania na kimataifa....Mtandao huu umezinduliwa Jumamosi iliyopita tu....Watanzania tunaweza jamani,haya mambo sio tu Mark Zuckerberg aliweza,hata sisi tumeweza...Nampongeza sana dogo,ndo yuko mwaka wa 3 pale UDOM...Namuombea asiache chuo kama alivyofanya Mark,Warren Buffet na Bill Gates...WATANZANIA WENZANGU TUSAPOTI KILICHO CHETU....Mimi Nimeshajiunga na MAYOCOO, Follow me kwa jina la GIOVANNI

Habari hii kwa hisani ya SETH DE JESUS GIOVANNINo comments:

Post a Comment

Maoni yako