June 16, 2013

SAMAKI WANAKUFA WENYEWE NA KUELEA ZIWA NYASA

Na Vitus Matembo

Nimepata habari kuwa maeneo mengi ziwani Nyasa samaki wanakufa wenyewe na kuelea ziwani. Wavuvi wanapoenda kuvua wanawakuta wanaelea na kuchanganya na wale waliowavua na kwenda kuwauzia watu.

Hili ni tatzo kwa forodha zote Nyasa kuanzia Manda,Nkili hadi Chiwanda.  Samaki wanaoongoza hususani forodha ya NKALI NA HONGI ni: Ligong'wa, NJERINGU,LIKUKU, VINDONGO, VIGONG'O, VITUHI, HANGO, NGISI ,MBUFU,LIHENJI,MAGEGE NA BATAZIBI. Wanasema wenda kuna watu wamevunja masharti ya wazee huko Manda au Malawi wamepiga bomu lenye sumu Ziwani Nyasa upande wetu.CHANZO HAKIJULIKANI KWAKWELI...!.sijui mdau unaxemaje maana sijui la kufanya.2 comments:

  1. Ninawapenda xana hawa samaki ni watamu sana wakichomwa pembeni na ugali wa muhoga. ILA NASIKITIKA WANAVYOKUFA bila sababu kuwekwa wazi!

    ReplyDelete
  2. hahahahahahaha utamua wa nyasa bwana.

    ReplyDelete

Maoni yako