June 16, 2013

SHULE YA MSINGI MBAMBA BAY HUVUTIA WANAFUNZI KUSOMA


Ni mandhari ya shule ya msingi Mbamba Bay mjini Mbamba Bay. Shule hii ipo karibu na ufukwe wa bandari ya Mbamba Bay mjini humo. Kwa hakika ni eneo ambalo wanafunzi husoma kwa utulivu na kujipatia hewa safi na salama.  

Hupunguza uchovu kwa wanafunzi kutumia nyakati za mapumziko kwenda kando ya ziwa kupunga upepo. Ni chachu ya wanafunzi kupenda shule na kujenga uadilifu, pamoja na kujifunza mambo mengi mazuri khusu Nyasa.

Pia mazingira yake yamezungukwa na miti kama inavyonekana kwani walimu na wakazi wa mji wa Mbamba Bay hupendelea upandaji miti. Hali hii huongeza ustawi wa jamii na kupata hewa nzuri ya ukaa.

4 comments:

 1. Anonymous17 June, 2013

  Grab a couple of tips to get ex my how to get a girlfriend back.

  This first part will focus on improving your love life.
  You might be surprised at how much you've improved. Swarovski crystals are in-expensive but look nice. By establishing yourself in her life, costing you about Php 40-100 maximum 6 times a day. For $18 99, t-shirt $28. It is usually pretty easy to sneak into her bathroom and check for perfumes or other items she uses on a regular basis.

  Also visit my blog post how to get girlfriend

  ReplyDelete
 2. Mwenga..kunyumba nga kunyumba yaani nimejikuta kama nipo hapo hakika basi tu ahsante kwa kumbukumbu hii.

  ReplyDelete
 3. one day i will vist that area

  ReplyDelete

Maoni yako