June 03, 2013

HARAMBEE YA WADAU WA WILAYA YA NYASA

Na Vitus Matembo, Dar es salaam


LOWASA AONGOZA HARAMBEE YA MAENDELEO NYASA
Jumla ya sh.305.4 Million zilichangwa katika harambee hiyo iliyofanyia Juni Mosi. Pesa hzo ni ahadi na taslimu. Lowasa alitoa milioni 65 na rafikize. Mke wa Membe sh.1 milioni. Mh.Lowasa alikuwa mgeni rasmi huku mwenyeji akiwa Komba. Pesa hzo zimekabidhiwa kwenye KAMATI YA MAENDELEO YA 

No comments:

Post a Comment

Maoni yako