Katibu Mkuu wa Chadema, Dk Slaa akizungumza wakati wa mkutano wa katiba mpya, Mbamba Bay.
Na Vitus Matembo,
Mbamba Bay
Katibu Mkuu wa Chadema, Dk. SLAA, Mwenyekiti wa Chadema na
Mbunge wa Hai, Freeman Mbowe na Mbunge wa Kawe, Halima Mdee walizungumza na
wananchi wa Wilaya ya Nyasa wakati wakiahimiza suala la katiba mpya na mamlaka
ya Zanzibar.
Leo kutakuwa na mkutano wa KISIASA hapa Mbamba bay. Viongozi
wa Chadema walifaka kwa Helikopta wakitokea SONGEA. Karibu watu wote
walichangamka sana kwenye mkutano huo na kupata ari mpya ya uimarifu wa Sera
katika KUIJENGA NYASA YETU.
Helikopta waliyosafiria |
Pia ile ni nchi inayojitegemea kwa kuwa ina RAIS, BENDERA,
AMIRI JESHI, KATIBA,NYIMBO YA TAIFA n.k..
KIUFUPI wamejitahidi kuelewesha umma juu ya mapungufu yaliyomo kwenye RASIMU YA
KATIBA MPYA.
Kwa kweli kuna masuala ya msingi sana yanahitaji kuangaliwa kwa jicho la tatu, hasa hili la Z'bar ambayo inaonekana ina sovereignty.
ReplyDeletehapo ndugu
ReplyDeletezangu tnatakiwa kuwa makini!Hivi knachotfanya tnajpendkeza kwa mayakhee ninini?ukicheki muungano ulishavnjika limebki jina tu.waacheni jamani.ipo cku watauona umuhmu wa muungano.Wahenga husema mtoto akililia
wembe.....
markus nimekoment
ReplyDeletekama
anonymous hapo.ila ukweli utabki palepale.D,MNUGA.
Mmmh Ni kweli ila ujio wa Chadema katika wilaya ya NYASA umeleta mwanga kwa wengi kufahamu mapungufu yaliyomo kwenye Rasimu ya Katiba Mpya. Na pia Kuona njama za chama cha CHUKUA CHAKO MAPEMA.
ReplyDelete