August 24, 2013

CHADEMA NDANI YA WILAYA YA NYASA

Katibu Mkuu wa Chadema, Dk Slaa akizungumza wakati wa mkutano wa katiba mpya, Mbamba Bay.

 Na Vitus Matembo, Mbamba Bay

Katibu Mkuu wa Chadema, Dk. SLAA, Mwenyekiti wa Chadema na Mbunge wa Hai, Freeman Mbowe na Mbunge wa Kawe, Halima Mdee walizungumza na wananchi wa Wilaya ya Nyasa wakati wakiahimiza suala la katiba mpya na mamlaka ya Zanzibar.

Leo kutakuwa na mkutano wa KISIASA hapa Mbamba bay. Viongozi wa Chadema walifaka kwa Helikopta wakitokea SONGEA. Karibu watu wote walichangamka sana kwenye mkutano huo na kupata ari mpya ya uimarifu wa Sera katika KUIJENGA NYASA YETU.

Helikopta waliyosafiria
Hoja kubwa ya Chadema jana katika mkutano uliofanyika kwa muda wa dk.45 ni kuhusu Mabadiliko ya katiba mpya. Wanapinga kuhusishwa Zanzibar kwenye katiba wakati tayari wanakatiba yao.
Pia ile ni nchi inayojitegemea kwa kuwa ina RAIS, BENDERA, AMIRI JESHI, KATIBA,NYIMBO YA TAIFA n.k..  KIUFUPI wamejitahidi kuelewesha umma juu ya mapungufu yaliyomo kwenye RASIMU YA KATIBA MPYA.

4 comments:

  1. Kwa kweli kuna masuala ya msingi sana yanahitaji kuangaliwa kwa jicho la tatu, hasa hili la Z'bar ambayo inaonekana ina sovereignty.

    ReplyDelete
  2. hapo ndugu
    zangu tnatakiwa kuwa makini!Hivi knachotfanya tnajpendkeza kwa mayakhee ninini?ukicheki muungano ulishavnjika limebki jina tu.waacheni jamani.ipo cku watauona umuhmu wa muungano.Wahenga husema mtoto akililia
    wembe.....

    ReplyDelete
  3. markus nimekoment
    kama
    anonymous hapo.ila ukweli utabki palepale.D,MNUGA.

    ReplyDelete
  4. Mmmh Ni kweli ila ujio wa Chadema katika wilaya ya NYASA umeleta mwanga kwa wengi kufahamu mapungufu yaliyomo kwenye Rasimu ya Katiba Mpya. Na pia Kuona njama za chama cha CHUKUA CHAKO MAPEMA.

    ReplyDelete

Maoni yako