September 20, 2013

MLIPUKO WA HOMA YA KUHARAKwasasa kuna uwezekano mkubwa kuwa Kipindupindu kimeingia. Kwakuwa kwa kila nyumba 3 lazima kuwe na mtu anayeumwa tumbo/kuharisha. 

Na ukienda KITUO CHA AFYA cha Mbamba bay -Wodi zimejaa wagonjwa wa tumbo hususani watoto ni wengi sana. "HEBU TUJARIBU KUWATAKIA KHALI NDUNGU ZETU WA HUKU NYASA NA UTOE  FEEDBACK HAPA".

No comments:

Post a Comment

Maoni yako