September 20, 2013

KARIBU UMEME WA GRID YA TAIFA NYASANa Vitus Matembo, Mbamba Bay

Leo Tanesco wameanza kutoa semina na elimu kuhusiana na uzinduzi wa umeme, matumizi, malipo na gharama za kujiunga. Pia wamealikwa wananchi wote wahudhurie bila kukosa. Ni semina endelevu kwa vijiji vyote wilayani Nyasa. Ila sasa wapo stand ya mjini Mbamba bay wakifanya mkutano.

1 comment:

Maoni yako