January 29, 2014

HOSPITALI LUNDU YAKOSA WAFANYAKAZI

 
Zahanati ya Mtakatifu Raphael inavitanda 40 za kulaza wagonjwa lakini hailazi wagonjwa kwa sababu imekosa wataalamu wa kutoa huduma hiyo Zahanati hiyo ina mfanyakazi mmoja tu aliyeajiriwa serikali.Case hata ya kujifungua mgonjwa anatakiwa apelekwe Lituhi.

Pichani, William Mpangala akiwa katika Zahanati hiyo.


No comments:

Post a Comment

Maoni yako