February 05, 2014

TANGAZO MUHIMUTANGAZO TOKA KWA MKURUGENZI WA HALMASHAURI YA NYASA

Kwa wale wote waliomaliza kidato cha sita kwa masomo ya sayansi na hesabu. Nendeni mkajiandikishe kwa mkurugenzi ili majina yatumwe wizarani ili msomeshwe bure katika Vyuo vya Ualimu. Na baadaye kuajiriwa moja kwa moja. 204/2015.

MUHIMU;Tangazo hili kwa ajili ya wakazi wa Wilaya ya Nyasa.

No comments:

Post a Comment

Maoni yako