October 12, 2014

KAMERA YETU KATIKA FUKWE ZA ZIWA NYASA

Mwandishi wetu Vitus Matembo amefanikiwa kuvinjari maeneo mbalimbali ya Ziwa Nyasa. Kama kawaida ametuletea mfululizo wa picha hizi zinazojieleza zenyewe kuhusu mandhari ya Ziwa Nyasa katika Wilaya ya Nyasa

Vitus akiwa amejipumzisha kwenye mitumbwi.

Vitus akifurahia uzuri wa ziwa Nyasa

Uzuri zaidi.

Kazi ya uvuvi

No comments:

Post a Comment

Maoni yako