Tangaza Biashara yako. Tunakaribisha Matangazo ya aina mbalimbali. Mawasiliano zaidi piga simu namba +255 628994409 au +255 692 555 874

October 12, 2014

SHUGHULI MBALIMBALI KATIKA ZIWA NYASA

Fukwe wa Ziwa Nyasa katika kijiji cha Mbaha

Gari la Hoops Kamanga baada ya safari ndefu alipumzika katika kijiji cha Lundu.

Hoops Kamanga akiwa na wazee wa kijiji cha Kwambe katika kuwaelimisha masuala ya maendeleo na haki za raia.

Kamanga akiwa katika kijiji cha Lundu ambako alifanikiwa kupata wanachama mbalimbali wa Chadema.Dagaa

1 comment:

Maoni yako