July 26, 2017

SALAAMU WAUNGWANA

Nilitoweka hapa kwa muda wa miaka mwili pasi kupahudumia. Niseme tu huu sio ujio mpya ila ninajaribu kuweka mambo sawa ili niaweze kuhudumia.

Ninachowahakikishia wadau wote wa blogu hii ni kwamba sasa nimerudi. Licha ya Majukumu kadhaa yaliyopo lakini ninakuhakikishieni nimerejea kuwatumikia waungwana.

Tuwe pamoja.

Vuta subira

Markus Mpangala
Julai 26/2017

No comments:

Post a Comment

Maoni yako