August 18, 2017

SISI NI NANI NA TUNAFANYA NINI

NISHANI MEDIA

SISI tunajishughulisha na masuala mbalimbali katika sekta ya habari na kuwezesha huduma zake kugusa mashirika na taasisi mbalimbali za serikali, sekta binafsi, na watu binafsi bila ubaguzi wowote;.
1. Uhariri wa vitabu
2. Uhariri wa Majarida
3. Uhariri wa makala
4. Ubunifu wa nembo mbalimbali
5. Ushauri wa masuala ya habari
6. Ushauri wa mikakati ya kisiasa
7. Uandishi wa taarifa kwa umma
8. Uandishi wa hotuba za mikutano,makongamano,semina, hamasa,elimu n.k
9. Uchapishaji wa vitabu,majarida na kadhalika
10. Uwakala wa uuzaji wa vitabu na majarida.
11. Uandishi wa vitabu; Tamthiliya, riwaya, ushairi, watu na wasifu wa maisha
12. Uandishi wa mada mbalimbali (Insha za jamii)
13. Uandishi wa Vitini vya elimu ya Msingi na Sekondari (masomo mbalimbali).
14. Uchambuzi wa vitabu mbalimbali.
15. Kutafsiri maandiko ya lugha ya Kiingereza kwenda Kiswahili.
16. Kutafsiri maandiko ya lugha ya Kiswahili kwenda Kiingereza.

WASILIANA NASI
Markus Mpangala
Mawazoni15@gmail.com
lundunyasa@yahoo.com
Kizito Mpangala (+255 692 555874)
Honorius Mpangala (+255 753 449 254)
Samweli Chitanya (+255 762 340 292)

©Nishani Media CO. LTD

No comments:

Post a Comment

Maoni yako