September 18, 2017

UGUMU WA MWANAMKE KWENYE MAPENZI

NA HONORIUS MPANGALA
 
Siku zote mwanamke hawezi pata mwanaume aliye KAMILI maana wapo aina tofauti tofauti,,.
1. Ukimpata mtanashati, kichwa yake ni kitupu.
2. Ukimpata mwenye akili...yuko makini masaa 24 na wengi huwa hawako hawana swaga kwenye mapenzi , hawajipendi kihiivyo, wako rafu mno.
3. Ukimpata tajiri...hawezi kukuheshimu, wana dharau, utamwambia nini wakati hela anayo.
4. Ukimpata mfanyakazi hodari na mtafutaji...hana muda wa kuwa na wewe..muda wote anawaza kazi na kutafuta maisha.
5. Ukimpata mnyenyekevu...mfukoni huwa 0%.
6. Ukimpata anayekupenda kwa dhati...anakuwa siyo ‘tyype’ yako..hana pozi zile unazitaka.
7. Ukimpata msomi..hasikilizi ushauri wako..anakuona Boya  tu.
8. Ukimpata yule ‘smart’...ni muongo ‘to the maximum’... na ‘player’
‘So listen to your heart’...❤❤, na shukuruni kwa kila jambo, toka anguko la Adam hakuna mtu ‘perfect’..hata wewe hauko ‘perfect’.
BAKI NJIA KUU UYO NDIO ULIYOPANGIWA ,MUONESHE UPENDO HUENDA ANAWEZA KULITOA TATIZO HILO
Wewe WAKO  ni type gani hapo ?☝☝☝

No comments:

Post a Comment

Maoni yako