December 11, 2017

SALAMU ZINGINE KUTOKA NYASA

Niko nyumbani kilikozikwa kitovu changu. Napigwa msasa kabla sijarudi mjini. Karibuni Nyasa. Nawatakia kazi njema wasomaji wa blogu hii. Nawaahidi kuwaletea habari na picha mbalimbali kutoka mazingira ya hapa

Honorius Mpangala
Lundu, Nyasa
Desemba 10/2017

No comments:

Post a Comment

Maoni yako