January 04, 2018

NURU THE LIGHT AMERUDI TENA ULINGONI


MWANAMUZIKI Nuru Magram au maarufu kwa jina la Nuru The Light amerejea tena kwenye ulingo wa muziki baada ya kukamilisha wimbo wake mpya uitwao "UMENIACHA" kama unavyoonekana pichani. Mwanamuziki huyo mwenye makazi yake nchini Sweden anatarajia kuachia wimbo huu kwenye vituo mbalimbali vya redio hapa nchini ili kuwapa burudani wapenzi wa muziki wake.
Baadhi ya nyimbo zake zilizotia fora  ni "CHAPA LAPA", "NISUBURI USILALE", "L" (Love,Life&Light)?, "WALIMWENGU"?....
Hebu fanya kujikumbusha hapo YouTube, bonyeza NURU THE LIGHT.

No comments:

Post a Comment

Maoni yako