NYASA NI MAARUFU KWA KILIMO CHA MATUNDA
Hapa
ni kijiji cha Ndengele katika wilaya ya Nyasa mkoani Ruvuma tulimkuta kijana
anauza ndizi mkungu mzima shilingi 2000 tu.
Katika
eneo la Liuli tulikuta mananasi matatu yanauzwa shilingi 1000.
NB; Albano Midelo
No comments:
Post a Comment
Maoni yako