January 10, 2018

UJUMBE WA CHINA NDANI YA NYASA

Ni Mwenyekiti wa chama cha Wawekezaji kutoka China hapa nchini, Bwana Ding (Mwenye shati nyeupe), mbele ya Naibu Waziri Viwanda,Biashara na Uwekezaji, Injinia Stella Manyanya, ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Nyasa mkoani Ruvuma.  Naibu waziri na mwenyekiti huyo walikutana katika tamasha la utamaduni la Nyasa linalofanyika kila mwaka Disemba 31/2017 hadi Januari 6, 2018 mjini Mbamba Bay. Mwenyekiti huyo amethibitisha kuhamasika kujenga Viwanda kwenye Wilaya ya Nyasa. Tuvute Subira.

PICHA NA GEORGE NDIMBO, DIWANI WA KATA YA KIHAGARA.

No comments:

Post a Comment

Maoni yako