February 02, 2018

KAHAWA YA MBINGA, MABADILIKO NI HATUA

   Picha kwa hisani ya Maggid Mjengwa aliyepo mjini Mbinga.

Nakumbuka zamani tulikuwa tunatumia pumba za kiwanda cha kukoboa Kahawa Mbinga kufanya mazoezi ikiwemo kuruka sarakasi. Kiwanda hicho kipo mtaa wa Kiwandani unaopakana na Msimbazi. Zamani Kiwanda cha Mbinga kilikuwa kinajishughulisha na Kukoboa Kahawa peke yake. lakini sasa mabadiliko ni makubwa hadi kutengeneza Kahawa yenyewe kuweka kwenye paketi na kuziuza.
Mabadiliko ni hatua.

Markus Mpangala,
Dar es salaam

No comments:

Post a Comment

Maoni yako