September 09, 2007

Asanteni 'TAIFA STARS' Safari Ndiyo Imeanza!!!!!!!

Naam kwa jasho jingi lililowatoka,toka mwanzoni mwa michuano hii.Hakika mnastahili pongezi kwa kazi nzuri.Kzi yenu ilikuwa ngumu,na mara nyingi ninamini kwamba huko ni kuwabebesha msalaba wa dhambi kwa uonevu.

Asanteni kwa kazi nzuri mliyoifikisha hadi wakati huu,hakika sina cha kuwalipa zaidi ya kuwashukuru kwa kazi yenu nzuri.

SASA kazi ndiyo imeanza,wakati ndiyo huu wa kudhihirisha kwamba mnaujua vilivyo mchwezo wa kandanda bila kujali matokeo yetu ya kipindi hiki.

Kazi iliyopo mbele yetu ni kubwa sana achilia mbali wakati huu,pia tunawakaribisha wadogo zetu 'serengeti'{chini ya 17} ili kuweza kujifunza kukabiliana na soka la dunia hii.Hakika hili ni soma tosha na ulikuwa ni mtihani mkubwa wa vijana wenzangu,hawa.
kama mtihani huu ndiyo jaribio la kwanza katika ulimwengu wa kabumbu.
KAZI NDIYO IMEANZA STARS HAKUNA KULALA.

1 comment:

  1. ee bwana kuna mambo tunapaswa kujifunza zaidi kuhusu suala la soka.na nimeona ukiandika katikagazeti kwamba muda huu ni kujiandaa sasa ni kweli kabisa

    ReplyDelete

Maoni yako