February 23, 2008

Haa!!Kumbe Watawala wetu "VAYIVA?"

Jamani tusishangaane hapa,mbona hii hatari kwa wanyasa sisi?Yaani hawa viuongozi wetu "VAYIVA"? haya maajabu wala hawaoni noma!.Neno "VAYIVA" lina maana "WANAIBA",nimelitumia hili kustaajabishwa na hali ya majambazi wa wa nchi yetu ambao tumewapa mamlaka ya kutuongoza.Wezi wakubwa hawa na kikundi chao na wizi yaani "VAYIVA" hawana hata aibu halafu wanalilia kusikilizwa mbona makubwa.Huku nyasa wala hatuna habari lakini eti nimefika hapa Mbinga ndiyo napewa kale haotuba ka mnyakyusa aliyesoma kale karipoti kanakowataja wale wezi wetu.Yaani "VAYIVA"?..

1 comment:

  1. markus mpangala06 April, 2008

    Kumbe Lowassa mwizi sana,ndiyo maana Nyerere alisema mkiwapa nchi hii vijana hawa mtabata taabu aua ile kauli yake kumtaka Lowassa aseme mali yake aliko ipata.mwisho akasema mkifuta azimio la arusha mtapata taabu sana baadaye nidyo hao akina Lowassa majambazi wetu tuwafyeke shingo nini?

    ReplyDelete

Maoni yako