April 02, 2008

Hebu Msome Mnyasa huyu jifunze maisha

Malezi ya familia ni magumu pale unapokutanisha tamaduni mbili tofauti.Hili anatuelimisha dada yetu huyu yale anayoyaona huko ughaibuni na kwetu afrika hususani kwa wanyasa.Lakini ni habari njema kwani kila siku watu wanahitaji kujifunza mapya na kama alivyopata kusema Mwanafalsafa Galileo kwamba huwezi kumfundisha mtu kitu kama hajachukua hatua za kujifunza,sasa tuchukue jukumu tujifunze muda ndiyo huu.Hebu soma habari nzima jionee mwenyewe mambo hayo,wanyasa mpoooo!!!!

www.ruhuwiko.blogspot.com

2 comments:

  1. binafsi napenda utamaduni wetu wa kiafrika. kwani tunatunzani kuanzia mtoto hadi bibi, babu na hata mababu na mabibi. I like it and I miss it very much.

    ReplyDelete
  2. markus mpangala06 April, 2008

    Utamaduni wa waafrika ni mtamu sana kwani kitendo cha kutunzana sisi kwa sisi inatufanya tuwe na umoja wa upendo lakini kama wenzetu wa ughaibuni wanawaweka wazazi wao katika majumba ya matunzo huo siyo sahihi kwa waafrika.hongera kwa dada yetu hapo juu

    ReplyDelete

Maoni yako