June 20, 2008

Asubuhi Njema Na Kujipatia Kitoweo

Tunachangamka kama hivyo ili kujipatia kitoweo kwani samaki ndiyo nguzo yetu kuu.Njoo usikubali kuhadithiwa

2 comments:

  1. jamani msimalize nipi njiani hata moja niachieni tena nataka mbofu au mbelele

    ReplyDelete
  2. Anonymous22 June, 2008

    polepole dadangu utaanguka si unajua hakuna lami huku hivyo unatakiwa kutembea kwa uamkini usiwaige wanyasa kutembea kwao wanamadoido sana

    ReplyDelete

Maoni yako