
Ebu angalia tabasamu lake halafu niambie nimwambie akutayarishie nini.Wala usihofu kila kitu kipo sawa.Karibuni nyasa.Najua tayari njaa imeshakukaba shauri hao samaki wanakukuna sana.Andaa ugali wako wa muhogo halafu itazame picha hii lakini kwa wanyasa hakuna kuangalia picha bali wanakula kitoweo kamili.Usiogope muombe tu wala wanyasa siyo wachoyo
ehe jamani mbona mate yananidondoka kwani hao samaki hakika nimeandaa ugali lakini bahati mbaya umekwisha na unga nao ndo nimeishiwa kabisa.
ReplyDeletemhh hizo samaki bado nina usongo nazo kweli maaan mhhhh kapili imenipita
ReplyDeletePole sana ndugu yangu usijali njoo tena nyasa uchuke unga wa bureeeeee na samaki wa bureeeeee.usilie sana kwani uatapata dhambi.Orodhesha vyote unavyotaka ambavyo wanyasa hatukosi sawa dada?Tunataka usiishiwe tana unga bibie
ReplyDelete