June 15, 2008

Rais Anapo Blogu,Wewe Unangoja Nini?

Mwanzo sikuamamini kabisa kwani niliambiwa na rafiki yangu kwamba kuna myasa mmoja palejirani yetu naye anablogu yake.Nikauliza huyuhuyu Rais Bingu wa Mutharika tunayemfahamu?Basi nikamtumia swali hilo rafiki yangu yule Chikoko Cryton wa Malawi pale nikamwuliza hilo...akanitumia anauani hii..

http//;www.Bingu-Mutharika-nts.blogspot.com

1 comment:

  1. Kwa kwli hata mimi bado siamini lakini hii inaonyesha yeye hana kazi nyingi na hii ya kublog labda alifanya hivi wakati wa ujana wake na bado anatamani kwani kublog kwa kweli ukianza ni ngumu kuacha.Au?

    ReplyDelete

Maoni yako