
Wacheaji wote wa taifa stars nawapenda sana lakini aina ya uchezaji wa Shabani Nditi unanikuna sana yaani najihisi kama nipo katikati nakula ugali wa muhogo na samaki pembeni halafu kuna mtu ananisumbua lakini kwa kunifurahisha...yani we acha hebu mwangalie anavyomsikiliza kocha wa timu ya Taifa yetu Marcio Maximo yaani rahaaaaaaa nicheke nina mwanya?
hapa kazi hakuna kuremba hao kameruni ahwakuwa na jipya tuliwafunika mpaka Eto'o mwenyewe akasepa kabisa uwanjani si uliona mtu wangu Stars walivyokuwa mzuka yani kila kitu kilikuwa mkazuzu mtu wangu amini blogu yako
ReplyDelete