14 June 2008

Twende Pamoja!!! Hivi ndivyo Walivyoshangilia Leo Dhidi ya Kameruni

Pamoja na uwezo wetu mdogo wa soka lakini tumewaonyesha Kameruni tunajua maana ya soka ....kama hivi kwa umoja wetu

1 comment:

  1. Anonymous22 June, 2008

    bendra ila furahisha kinoma markus acha tujivunie hilo bendera kwani Nyererealibuni nawatu wake au siyo!mkazuzu

    ReplyDelete

Maoni yako