June 14, 2008

Toka Nyasa Mpaka Ughaibuni

Ni uzuri wa nyasa.Ebu tazama kizazi cha nyasa hiki kutoka ughaibuni.Hapo toka kushoto Philo,dada Yasinta{yule wa blogu ya Ruhuwiko},Eric na Camilla ee bwana wamependeza au?hata kama hutaki hii ndiyo nyasa ucheke una mwanya?njoo nyasa jionee

2 comments:

  1. Anonymous14 June, 2008

    Naona umeipenda hii picha kutoka nyasa. eh bwana nyumbani ni nyumbani

    ReplyDelete
  2. markus mpngala22 June, 2008

    Picha nimezipendasana kiasi ambacho nasema jamani nyasa itahamish watu wote ughaibuni kama siyo wale waliozaliwa huku imenikuna sana kwa kweli

    ReplyDelete

Maoni yako