July 04, 2008

Yasinta Watajie Jina...Anaitwaje Huyu...

Nimesahau jina nimejaribu hadi nikataka kupiga ngumi ukuta.Lakini kuna jamaa anapenda sana kujificha mapangoni kama wale jamaa wa al Qaida,amenikumbusha eti saizi nimesahau.Haya dada Yasinta wasaidie kuwatajia jina la huyu mnyama.....halafu pale Liuli karibu na hospitali wamejazana sana kama ndiyo kambi yao

1 comment:

  1. Jamani nimeshtuka kweli nilidhani anaitwa Yasinta huyu mnyama. Natania tu kwa jinsi ninavyokumbuka nadhani huyu mnyama anaitwa (tumbili) kilugha litumbili.

    ReplyDelete

Maoni yako