July 03, 2008

Kazi kwenu Mganda ndiyo huo,hapo vipi?Hapo sawa? acheni wivu

4 comments:

 1. that's really cute..wish i had one too.

  ReplyDelete
 2. Nimefurahi sana, kwani mara ya mwisho kuona ilikuwa kabla sijamaliza darasa la saba. Safi sana. je wameshika vipenenga pia kwani sivioni au nimekuwa kipofu sijui

  ReplyDelete
 3. Samahani nimeona washika vipenenga. wangecheza kwa ukweli nisingeiacha kompyuta leo nyumbani bwana sasa bado mhambo au

  ReplyDelete
 4. Nakumbuka mara ya mwisho kuuona live mganda ni wakati wa UMISHUMTA 1987 just imagine nilivyoumiss!. Hii ngoma naipenda kwa sababu jamaa wapo smart na step zao balaa, Safi sana kwa kukumbushana mambo muhimu kama hayo. Kuna makabila yana ngoma tamu jamani!

  ReplyDelete

Maoni yako