July 03, 2008

Ndani Ya Meli Ya Mv Songea

kwa utulivu na safari yenye uhakika.Lakini tafadhali mwezi julai siyo mzuri kwa wale wasiozoea usafiri wa meli kuna dhoruba sana mwezi huu mpaka agosti mwishoni.Karibuni nyasa utamu kolea

1 comment:

  1. Nilikuwa nafunga mizigo nije lakini sasa nimeghairi kwani hayo mambo ya kutapikiana aka hata siyawezi

    ReplyDelete

Maoni yako