July 03, 2008

Utulivu Wa Ziwa Nyasa

Kwa wale wanaopenda usafiri wa meli kipindi hiki siyo kizuri kwao iwapo tu siyo wavumilivu.Mwezi julai huambatana na dhoruba kali sana hivyo wale wasiozoea safari za meli hutapika sana.kwa hiyo tujihadhari kama hatujazoea mawimbi makali.Hapo ni Mbamba Bay,ukiwa mtaa wa zambia upande wa magharibi ya mji kutazama mashariki.

1 comment:

  1. Hello!
    Naamini uko salama kabisa, nimefuhishwa na blog page yako! Nitatuma email kwa "lundunyasa@gmail.com"

    Weston Ndomba.

    ReplyDelete

Maoni yako