August 08, 2008

uzuri,utulivu,nyasa

hebu angalia mwenyewe halafu niambie unajisikiaje kuona uzuri kama huo

5 comments:

 1. Nikiangalia kwa mbali naona safi sana jua linazama nami nimetulia na bia mkononi. Ila nadhani jua likizama basi hakuna usalama tena mbu na pia labda mamba au mimi mwongo

  ReplyDelete
 2. markus mpangala09 August, 2008

  Halafu hii tabia yako ya kufakamia BIA naona sasa inakufikisha pabaya sana.Yaani naona unakunywa hadi uanona mauzauza eti usiku ukiingia mbu,mamba eboo kwani watu wanalala hapo paspo na chandarua?
  Haa nilikuwa nakuhadithia nini???? nimekumbuka kumbe unakunywa sana bia halafu sitaki hizo pombe kwa jina la ......ushindwe
  ha ha ha ha ha ha ha ha jina la nani ashindwe acheni kudanganya eti jina la mtu likitajwa unashindwa. mmmmm basi njoo nyasa tukupe raha wewe utasahau habari zako za bia mkononi

  ReplyDelete
 3. unataka kusema kwa jina la YESU au kwa taarifa yake siachi kunywa bia ngo sasa ndo nitaanza kunywa hata mvinyo ha ha ha ha

  ReplyDelete
 4. markus mpangala13 August, 2008

  Nkwambia kwa jina la Nyerere ushindwe...mmm hilo jina ulilotaja silijui hata kidogo sijui dini gani hiyo kwani miye kwetu nyasa hapa tunasali katika dini za kiasili au.Nakwambi hizo bia ukiwa pembeni yangu nakuzaba makofi ukibisha nakuloga ukiona bia uwe unalia na kuogopa{natania].kwani toka uanze kunywa pombe umeongezeka kitu au. nimekumbuka ndiye mnaongeza idadi ya walevi wanaolala kilabuni eeehh

  ReplyDelete

Maoni yako