September 14, 2008

homba,nchomba,somba= samaki

maneo hayo yanwakilisha neno moja tu samaki. nadhani umeona tunakwenda kazini sasa

2 comments:

  1. Hapo inaonekana ipo kazi kweli maana inaonekana hizo nyvu zilivyojifungafunga hata hamu sina

    ReplyDelete
  2. Mwee... zi-somba ziweme chomene za kunyanja.

    Amai
    England

    ReplyDelete

Maoni yako