September 14, 2008

pale Mbinga mtaa gani?

hapa ni pale mtaa wa kanisa katoliki la Alois Gonzaga. Hayo ni baadhi ya maeneo yanayozunguka majengo yao watawa,nafikiri inapendeza sana

3 comments:

 1. Basi ngoja niende huko nikatimize ndoto yangu ya kuwa sista au watanikatalia unasemaje kwani ni kweli panaonekana pazuri sana.

  ReplyDelete
 2. chipole hapo ama sio?

  ReplyDelete
 3. Anonymous30 July, 2013

  Hello mr.mpangala inapendeza sana kuona unatangaza nyumbani mimi ni mama V. komba pamoja na kufurahiwa kuona hii site naomba msaada wako kwani kuna mtu ambaye alisoma na FR.Jordan Nyenyembe sasa aliposikia mimi natoka mbinga aliniomba anuani ya huyo baba Nyenyembe bahati mbaya nimeshindwa kuipata tafazari kama unahari zozote kuhusu yeye alipo na anuani yake basi naomba unisaidie. mana huyo mtu anataka kumtembelea kama angepata mawasiliano.
  Asante mungu akubaliki kwa hilio.

  ReplyDelete

Maoni yako