October 22, 2008

mabusu + mabusu mpaka jela !!!!!!!!!!!

ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha jamani mambo juu ya mambo, kilichonifanya niblogu leo ni hiki ninachoandika achana na picha hizo hapo chini. hizo ni changamoto tu.nilikuwa mapumzikoni kwa juma moja lakini utamu wa kublogu bwana!!!!! wanaoacha na kupuuza shauri yao. basi nitawapatia ile santuri ya ETAT MAJOR ya wale vijana wa EXTRA MUSICA, nawapenda mno, au Kwaito ya MANDOZA ya zamani ile ya M DO or DIE. ha ha ha aha ha kazi kwenu mnaoacha kublogu.

DUBAI
Ingawa DUBAI imekuwa ikifanya juhudi kubwa katika biashara yake ya utalii, ikiwa ni pamoja na kujenga hoteli za kadhaa za kitalii, imetuma ujumbe kote duniani kwamba pamoja na hamu yake ya kuongeza idadi ya watalii wanaotembelea lakini haiko tayari kutelekeza utamaduni wake na sheria zake.
Ujumbe huo umetumwa kupitia kwa raia wawili wa Uingereza kwa kuhukumu kwenda jela miaka mitatu kwa kosa la kufanya mapenzi ufukweni. Michelle Palmer(36) na kidume chake Vince Acors(34) ambao siyo wanandoa. wali-BANJUKA huko ufukweni DUBAI, lakini kwa mujibu wa sheria za nchi hilo ni kosa. Jamaa walikuwa wakipigana MABUSU na inasemekana wali-BANJUKA ingawa wamekanusha KUBANJUANA huko wanatakiwa kwenda jela kosa lao kupigana mabusu.

CHANZO: gazeti makini la Raiamwema

3 comments:

  1. Nimefurahi mabusu aseeee habari ndiyo hiyo wameipata

    ReplyDelete
  2. wamepigana mabusu mabusu, mmm ninavyojua wazungu midadi ikipanda wana-BANJUKA popote yaani hata mchangani, mchanga ukiingia ******* yani hawana noma. ha ha ha ha popote aiseeee

    ReplyDelete
  3. Niliposoma makala hii nikajiridhisha kuwa kweli majuu hamnazo.

    ReplyDelete

Maoni yako