October 25, 2008

vijana wapya Jamani wapeni moyo.

Inaonekana kama nimekuwa mvivu kuhusu blogu siku hizi, lakini amini nawaambia siyo ila mambo ya hapa na pale kuvua samaki kuogelea sana mpaka machp yawe mekundu kama wale mabibi wa shinyanga halafu mseme uchawi.
Kuna vijana wapya nawasaka wamekuja katika blogu jamani. Kazi yangu nyingine sasa ni kuhamasisha kuanza blogu kwahiyo msione kimya. He waangalieni hawa vijana ambao nimefanikiwa kuendeleza kazi za Ndesanjo Macha

www.kambilisports.blogspot.com
www.shamakala.blogspot.com

wapeni moyo, nafanya juhudi kubwa kuhamasisha kuhusu blogu

1 comment:

  1. Hivi ndivyo inavyotakiwa nakutakia mafanikio mema katika kuhamasisha vijana. Adumu Markus Mpangala na blog yake pia.

    ReplyDelete

Maoni yako