November 11, 2008

Karibuni MBINGA, karibuni sana

kahawa yetu ni nzuri sana ARABICA itazame kwa makini uone uzuri wake. MBINGA kwa raha zetu

5 comments:

 1. mimi sinywi kahawa je kuna chingambu huko =(chai bila sukari)

  ReplyDelete
 2. chingambu kipo njoo lakini siyo na pombe zako. tafadhali sana tunakuheshimu sana wewe na kaka Simon walevi mnalewa sana kwahiyo njooeni mnywe myakakaya

  ReplyDelete
 3. kaka Chahali KULIKONI UGHAIBUNI nawe karibu lakini unakunywa BIA kama dada Yasinta na Simon??

  ReplyDelete
 4. kama kuna chingambu na myakaya basi poa mabegi yameanza kufungwa

  ReplyDelete
 5. Ndiyo kipo ila najua utadai na bia, kazi kwako tu

  ReplyDelete

Maoni yako