April 01, 2009

mjadala: waliberali vs wahafidhina

david frum ametuanzia mjadala fulani katika mambo ya utawala wa marekani. wakati huo jonathan darman naye kasema kile ambacho mwenzake kasema.
nakumbuka rafiki yangu anaiita mhafidhina kama magret thatcher. unajua huwa napenda sana mambo ya uhafidhina ndiyo maana sipendi kukubaliana na kila jambo ambalo waliberali wanasema kuhusu mabadiliko ya dunia.

katika orodha ya wahafidhina ambao wanamkosoa kwasasa rais obama ni jamaa wa kambi ya republican. ebu angali orodha yake ; newt gingrich,rush limbaugh, sean hannity john yoo, george stephanopou na wengine kibao.

wao anasema kwamba "liberalism will fail" lakini hawasemi kuwa obama atashindwa. wasema kwa maneneo yao hadi dihahaka ndani yake; soma " one the one side, the president ot united states is softspoken, and comciliatory,never angry, always invoking the recession and victims.

unsurprisingly women are trust him and admire, he is spoken about "responsibility" zaidi soma hapa

jamaa wamekandamiza humo ni balaa. lakini swali na mjadala mkubwa ni kwamba wao wanasema hawaoni kipya toka kwa liberalism na hata huyo obama.
je wanablogu tunasema kuhusu utawala wa washington kwa sasa na matarajio yetu kwa baadaye katika utawala wa obama?

mimi sijui ingawa kweli ni mhafidhina ambaye sikubaliani na rafiki yangu kuwa liberalism. bado sijarudi kikamilifu wanablogu wenzangu

1 comment:

Maoni yako