May 01, 2009

Nyasa, lakini sikuwahi kumwona


nimezaliwa na kuklia ukanda wa ziwa nyasa. ukiniambia mwamboa huo ni wapi sijawahi kufika toka Itungi pale bandarini Kyela hadi mwisho wa kijiji kuingi Msumbiji katika pale Chiwindi. Lakini yote hayo huyu mnyama sijawahi kumwona, zaidi nilichoona ni sehemu tu aliyokanyanga au kuona pua yake kwa mbaliiiiii akiwa majini, lakini nasikitka sijawahi kumwona.
lakini najivuni kuwa mnyasa jamani, karibuni

2 comments:

  1. Hujawahi kuwaona kwa vile hakuna viboko ktk ziwa Nyasa na naamini umewaona zaidi MAMBA. ha ha ha ha

    ReplyDelete
  2. Huyu mnyama hupenda michezo ya usiku zaidi. Mchana mara nyingi hatoki ovyo kwenye maji labda uwe nabahati . Hata ukienda mikumi na bwawa lao dogo, unaweza kushuhudia kuona kichwa tu na macho yakurembua.

    Ukiniuliza bado nitakuambia dagaa wa nyasa ndio watamu kuliko dagaa wote duniani:-)

    ReplyDelete

Maoni yako