December 17, 2009

TABASAMU HLIJUI; UCHEKE UNA MWANYA WEWEEEE??

Kama ni tabasamu basi hilo ndilo linaloqweza kukufanya ukasahahu kuwa kuna watu wenye matatizo duniani. kama ni raha basi hapa nadhani raha utaipa vema biloa kukosa sana. Nina uhakika kila utazamapo unajiuliza kitu inakuwaje hii....inakuwaje hawa vimbe wengineni

Ndiyo dunia hiyo wapo wenye vituko na mikogo mingi. Wapo wenye mambo ambayo unaweza kushangaa kwamba ni kwavipi wanastahimili kuishi katika dimbwi la kuchekwa kama hilo.

Lakini sote tunapaswa kujikubali kwamba ndivyo ilivyo na ndivyo inavykuwa. Na labda inategemea na mtu alivyo kama unavyoona hayo mapozi. Vipi imetulia amaWakati mwingine huwa nawa sana kuwa unapocheka na kujidai unatbasamu unamwanya wewe au? Sasa tazama wenzio wenye mwanya wanavyolina nao angalia wanavyojidai kwa mbwembwe. N labda inategemea na mtu usije ukamdharau kwakuwa yuko hivi...lakini ujue anajambo la kukufurahisha asana kama ambavyo mimi nafurahi msomaji wangu. Ungekuwa pembeni hapa ungeona furaha yangu ni kuwaona watu wenye jkukabiliana na changamoto kadhaa duniani. Imetulia au imakaa vibaya?Mwanya huna halafu unataka kulingana huyu? Aisehee mimi nashindwa hata kuongeza zaidi jamani ebu oneni alivyopendeza kijana wa watu, tazama meno yalivyojipanga kwa raha zake jamani. Kma unadhani wewe unaweza kuwarusha roho watu yaani kuwachekesha hadi wakakuona ndiyo tiba yao, nadhani kwa hilo hapo unaweza kujifunza kuwarusha zaidi. lete mambo
Ushawahi kukutana na kijana mtanashati kama huyu? Ni wapi niambie kwanza nikushushue?
Lione hata haloina aibu eti anajilinganisha na kakangu huyu alivyojipamba kwa pamba kali.
Wewew unacheka una mwanya?
Unakumbuka mwanamuziki King G.K aliimba katika vibao vyake vya AMA ZANGU AMA ZAO na ile ya ITIKADI? Jamaa nawahususudu sana watoto wa EASTCOAST ARMY. wanakunja ndita hadi spika zinagoma kuendelea na midundo, jamani zile kujikunjia ndita nikajiuliuza unacheki hilo lilivyokali kuzidi lile la vijana wa Upanda east na upanga west? Tazama kwanza mkunjo wa sur unaweza kuona kabisa kuna hali tulivu kuliko ugomvi jamani
mpeni alama zake jamani au?
Nasikia kuna bingwa wa kutabasamu lakini hapa naona anafunga breki kabisaaaaa...angali mwenyewe

Wakati nazzitazama picha hizo nilijiuliza swali moja muhimu. Je kuna mkono wa kompyuta katika picha hizo? Nilijiuliza je kuna Photoshop iliyofanyuika ama Illustrator au CorewDraw yoyote hapo? Nikajua jamani kuna watu wapo hivyo siyo mikogo ya kompyuta
2 comments:

  1. asante kwa kutuonyesha tabasam tofauti ila kuna watu wana midomo yao na wanajua kuitumia cheki kama hiyo picha ya kwanza.

    ReplyDelete
  2. kucheka raha jamaa hadi madenda yanamtoka

    ReplyDelete

Maoni yako