May 29, 2010

SAFARI NJEMA DADA Diesmal

Kwanza nashukuru kunitumia picha hii baada ya kutua mjini Mbinga. Nadhani umekumbuka Frankfurt au uwongo ha ha ha na kiswahili chako kibovu eti 'nim'pika mbinga' badala ya kusema 'nimefika mbinga'. Usijali kazana safari ni ndefu hadi kuifikia Litembo dada halafu unasema una usongo wa kujimwaga kwetu nyasa.

Haya yangu mie macho tu, nakusubiri kwa hamu nadhani umeiona Mbinga sasa kazana tu mana hapo ndipo palipo nikuza na kunijuza ukiacha nyasa kwetu. Safari njema.

Hey mnasemaje kikwetu Diesmal? ha ha ha ha nimekumbuka ile lugha ngumu mweeeeeeeeeee, ha ha ha ha haya najaribu
   Gut sein reise madchen, i liebe du Diesmal......
           Ein kind bekommen....... lol

Diesmal natisha siku hizi naijua hii lugha, ha ha ha ha ha ha kideuctland chenu siyo? nami nimo eboooo! Dada Yasinta upo hapo? toto linajimwaga nyasa,litembo,kindimba na kadhalika, hebu mtakie safari njema au? Lol

3 comments:

 1. Duh hadi kijerumani mtani? Unatisha.

  Nami ngoja nijaribu kujifunza lugha moja ya mamtoni.

  ReplyDelete
 2. Uhambai bwina, mweeh sikujia kama unajua hadi kijerumani ngoja nami nijifunze lugha nyingine ...kaaazi kwelikweli maana naona hata Mtani naye anatakla kujifunza sijui atajifunza lugha gani? Safari njema.

  ReplyDelete
 3. Mtani! haya mambo weee acha tu aiseee, si unajua wengine tunatenda kimya kimya siyo ileeeeeeeeeeeeeeeeeee inakuwa storiiiiii kama breakingnews a.k.a topiki ya kutambua mwanaume siyo lazima awe na ndevu... Lol yaani kuona ni kuamini. somo limelala hili kiasi chake Mtani, huwa linaamka kichwa sana tu. TO DARE IS TO DO mtani au??

  @Da' Yasinta... mweeeeeeeeeeee haya majimambo ya deuthland we acha tu, bora kujaribu kuliko kutojaribu.
  si unajua mtoto akilia sana inaudhi??? ndiyo hivyo mengine tunayaweka mioyoni, tukiyasema huenda yanaudhi....oooooh mzee wa lundu nyasa anajipa 'ujiko' oooh kujipendelea..... lakini najua kiasi chake hiki ki-deuctland. Lol njoo nikufundishe mama Camilla!!! Lol Matetereka yupooooo???

  ReplyDelete

Maoni yako