October 18, 2012

AJALI YA LORI BARABARA YA MBINGA-SONGEA


Ajali ya lori la ujenzi la kampuni ya Wachina inayojenga barabara ya Mbinga-Songea ambayo imetokea leo asubuhi saa tatu. Ajali hiyo imetokea katika kijiji cha Lipumba ambacho kipo kilometa chache tu kutoka Mbinga mjini.

Hata hivyo hakuna mtu aliyeruhiwa katika ajali hii. Soma zaidi Hapa

2 comments:

  1. Shukrani kama hakuna aliyejeruhiwa

    ReplyDelete
  2. Nasi tunashukuru kwa hilo. tuko pamoja mkuu

    ReplyDelete

Maoni yako